• Latest News

    Friday, 29 January 2016

    Bajileson Company Ltd-A welcome note

    Bajileson Co ltd inajihusiha na uuzaji wa reja reja wa dawa za binadamu,vipodozi na vifaa tiba!
    Dira ya kampuni hii ni kuwa mojawapo ya kampuni inayoongoza katika wilaya ya ilemela kwenye kutoa huduma ya reja reja ya dawa za binadamu na vipodozi.
    Buswelu pharamacy chini ya Bajileson Co ltd imeanzishwa mwezi septemba 2015 na ipo katika mtaa wa buswelu wilaya ya Ilemela jijini Mwanza..Buswelu pharmacy ni mojawapo ya pharmacy kubwa katika kata ya Buswelu na inasifika kwa kuwa na wataalamu wazoefu na weledi katika kumshauri mgonjwa!Pia inasifika kwa kuuza dawa za binadamu zenye ubora mzuri na ushauri unaotolewa bure.Kwa mawasiliano unaweza kutupata kwenye email-bajilesonltd@gmail.com na simu +255786650213
    Mitandao ya kijamii ni facebook-bajileson co ltd na twitter-bajilesonltd

    Buswelu pharmacy katika picha


    Buswelu pharmacy ina wataalamu wazoefu kwenye eneo la utoaji wa dawa na maelekezo kwa wateja wake!Chini ya wafamasia,wateja hupata ushauri wa namna bora ya kutumia dawa na kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza kwa kutotumia dawa kwa usahihi..Huduma hii ya ushauri hutolewa bure na wataalamu wetu!
    Bidhaa zetu hutunzwa kwenye stoo na shelves zenye ubora. Uwepo wa mtaalamu wa masuala ya ungalizi wa bidhaa na manunuzi (procurement and supply manager) na matumizi ya programu kwenye kompyuta umeweza kusaidia uangalizi bora wa bidhaa pia kuwa na ubora wa dawa muda wote ili kumhakikishia mteja wetu usalama wa kiafya.

    Mr. Mika (Procurement and Supplies Manager) at Work

    Mtaalamu wa manunuzi na Bidhaa Ndugu Mika Abeidnego akiwa katika ukaguzi wa dawa kuisha muda wake na uhesabu wa mali yaani physical inventory!
    Zoezi hili hufanyika kila mwezi ili kubaini dawa zinazokaribia kuisha muda wake ili kuzitoa mapema kabla ya muda wake kuisha..
    Thursday, 28 January 2016

    Mfamasia kazini

    Mojawapo wa wamiliki wa kampuni ya bajileson na mfamasia msimamizi Bi Magdalene urrio akiwa anasubiri wateja wa kuwahudumia..Ni jambo la kawaida wateja wetu kupokelewa kwa tabasamu na kusikilizwa kwa umakini!Mojawapo ya faida anayoipata mteja wa Buswelu pharmacy ni kupewa huduma katika hali ya usiri kwani kuna chumba maalum kwa wagonjwa wenye uhitaji wa huduma hiyo (consultation room)
    Scroll to Top