Je, wajua Mto Nile ndio mrefu Duniani? Mbali na hilo Mto huu hukutana na bahari ya Mediterranean ila cha kustaajabisha sasa, maji yake haya changanyikani na maji ya baharini. Fanya kutujuza unachofahamu kuhusu Mto Nile.
0 comments:
Post a Comment