• Latest News

    Tuesday, 16 August 2016

    Pangani| Ahadi Ya Magufuli Yatekelezwa,

    USAFIRI
    Abiria walitoka kwenye Kivuko cha Mto Pangani kilichoanza kazi hivi karibu baada ya kuwasili kutoka Dar es Salaam kilikoundwa, ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Rais John Magufuli wakati wa kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Picha na Burhani Yakub

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Pangani| Ahadi Ya Magufuli Yatekelezwa, Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top