728x90 AdSpace

  • Latest News

      Friday, 29 July 2016

      Majengo Ya Serikali Dar Kupigwa Mnada Baada Ya Kuhamia Dodoma

      RAIS MAGUFULI KUPIGA MNADA MAJENGO YA SERIKALI
      Rais JOHN MAGUFULI amesema kuwa baada ya kukamilika kwa taratibu za kuhamishia makao makuu ya Serikali mjini Dodoma, atapiga mnada majengo yote ya Serikali ili kupata Fedha za Ujenzi wa mji mkuu huo.
      Rais MAGUFULI amesema hayo wakati akihutubia mkutano wa hadhara mjini Manyoni mkoani SINGIDAakisisitiza juu ya azma yake ya kuhamishia Makao makuu DODOMA.
      Source:TBC Habari
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Post a Comment

      Item Reviewed: Majengo Ya Serikali Dar Kupigwa Mnada Baada Ya Kuhamia Dodoma Rating: 5 Reviewed By: Unknown