728x90 AdSpace

Monday, 25 July 2016

Picha 7: DC Korogwe ashiriki ujenzi wa zahanati, apanga kukamilisha ndani ya siku 30


Umbali mrefu wa kufuata huduma ya afya umemfanya Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Gabriel Robert kushirikiana na wananchi wa kijiji cha Mwenga Tarafa ya Mombo kuanza ujenzi wa zahanati ambayo wamelenga kujenga zahanati yenye viwango vya ubora na vigezo vyote vya kitaalamu ndani siku 30 kuanzia leo.
IMG-20160723-WA0014
Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Gabriel Robert akishiriki kuchimba msingi wa ujenzi wa zahanani kijiji cha mwenga
IMG-20160723-WA0004

IMG-20160723-WA0040
DC Korogwe, Gabriel Robert
IMG-20160723-WA0006

IMG-20160723-WA0007

IMG-20160723-WA0009
DC Korogwe, Gabriel Robert
IMG-20160723-WA0021
Wananchi wa kijiji cha Mwenga waliojitokeza kusaidia ujenzi wa zahanati
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Picha 7: DC Korogwe ashiriki ujenzi wa zahanati, apanga kukamilisha ndani ya siku 30 Rating: 5 Reviewed By: Unknown