728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday 29 January 2016

    Buswelu pharmacy katika picha


    Buswelu pharmacy ina wataalamu wazoefu kwenye eneo la utoaji wa dawa na maelekezo kwa wateja wake!Chini ya wafamasia,wateja hupata ushauri wa namna bora ya kutumia dawa na kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza kwa kutotumia dawa kwa usahihi..Huduma hii ya ushauri hutolewa bure na wataalamu wetu!
    Bidhaa zetu hutunzwa kwenye stoo na shelves zenye ubora. Uwepo wa mtaalamu wa masuala ya ungalizi wa bidhaa na manunuzi (procurement and supply manager) na matumizi ya programu kwenye kompyuta umeweza kusaidia uangalizi bora wa bidhaa pia kuwa na ubora wa dawa muda wote ili kumhakikishia mteja wetu usalama wa kiafya.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Buswelu pharmacy katika picha Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top