728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, 28 July 2016

    Mzunguko wa hedhi na njia salama ya uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda

    Wanawake wengi wamekuwa na malalamiko juu ya utumiaji wa vidonge au sindano kuzuia mimba au kupanga uzazi!Kwa ufupi njia ya kalenda ni njia iliyo salama zaidi kiafya..
    Picha niliyoweka ni kwa ufupi utakavyoweza kuhesabu au kujua siku zipi ni za hatari na zipi ni salama..kwa mfano kwenye nyekundu ni siku ambazo utakuwa hedhi na utaanza kuhesabu siku ya kwanza tangu ulipoanza na utaendelea na mzunguko kama unavyonyesha katika picha..sehemu iliyochorwa mtoto ni siku ambazo ukifanya tendo la ndoa basi ni siku ambazo utapata ujauzito...Kuwa makini kwa kufuata idadi ya siku tangu umeanza bleed siku ya kwanza..Siku njema!
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mzunguko wa hedhi na njia salama ya uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top