728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday 27 October 2016

    Jinsi ya kudukua mawasiliano ya simu ya mtu mwingine!

    Chukua simu ya mlengwa bila yeye kujua na ingia kwenye browser ya simu ya mlengwa kama google chrome, firefox, opera n.k.

    Tafuta website inaitwa mobitrackapp.com kisha fungua ile result ya kwanza itakayoleta ambayo ndiyo website yao.. Utakuta option ya ku download hiyo app ya MOBITRACKAPPS..

     
    Install kwenye simu ya mlengwa hiyo app kisha set account kwa kuweka email na pasword yako kisha vitu unavyotaka ku track kutoka kwenye simu ya mlengwa i.e SMS,CALL LOGS,LOCATIONS.. Baada ya hapo utaona option ya kuificha hiyo app kwenye simu ya mlengwa ili mwenye simu asiione..

    Baada ya kuficha zoezi litakuwa limekamilika na ili uweze kuyapata mawasiliano ya mlengwa utakuwa unaingia kwenye browser yoyote au simu yako kwa kutumia webiste ya MOBITRACKAPPS.COM uta log in then utaanza kuona meseji, call logs n.k kutoka kwa mlengwa..

    NB:
    Kumbuka hikikitendo ni kosa kisheria..Do it at your own risks!
    Source JAMII FORUMS

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Jinsi ya kudukua mawasiliano ya simu ya mtu mwingine! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top