728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, 3 August 2016

    Historia|Mtanzania wa kwanza kupata PHD

    Kama Hujawahi kujua ama Kusikia...
    Leo 3.8.16 Sikia na kujua ya Kwamba huyu ni kijana Justinian Rweyemamu Ihungo ambae ana rekodi ya kuwa Mtanzania kwa kwanza kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) toka Chuo Kikuu cha Harvard. Picha hii ni ya Miaka ya 1960...
    Alizaliwa 28 Septemba 1942 huko Katoma, Bukoba na Kufariki Machi 30 1982 huko Newyork City, Newyork - Marekani.
    Akiwa ni Mchumi wa Kiwango cha juu Duniani na Mwenye Kuheshimiwa, Aliacha Mawazo yake kwenye Maandishi.... Baadhi yake ni hivi
    1. Underdevelopment and Industrialization in Tanzania: A Study of Perverse Capitalist Development (Nairobi: Oxford University Press, 1973)
    2. Towards Socialist Planning
    3. The Teaching of Economics in Africa
    4. Industrialization and Income Distribution in Africa
    5. Pugwash on Self-reliance
    6. North-South: A Programme for Survival (The Brandt report)
    7. Dialogue for a New Order
    8. Third World Options: Power, security and hope for another development (Tanzania Publishing House, 1992).
    Tafadhali Share kwa Marafiki Wengi zaidi ili Kumuenzi Nguli huyu wa Uchumi kuwahi kutokea....
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Historia|Mtanzania wa kwanza kupata PHD Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top