728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday 9 August 2016

    Utumbuaji Wa Majipu Waendelea Mbeya

    MBEYA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza katika soko la Mwanjelwa na kubaini upotevu wa shilingi Milioni 400.
    - Amempa siku tatu Mkuu wa Mkoa Amos Makalla kufanya uchunguzi na kubaini nani aliyetafuna shilingi milioni 489 zilizotolewa na Benki ya CRDB kwa ajili ya uendelezaji wa soko hilo ambazo hazijulikani zilipo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Utumbuaji Wa Majipu Waendelea Mbeya Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top