728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday 28 August 2016

    TAHADHARI MUHIMU KAMA UNATUMIA WHATSAPP

    TAHADHARI MUHIMU KABISA KWA WOTE MNAOTUMIA WHATSAPP. Soma kisha chukua hatua stahili, kisha mfahamishe na mwenzio... na #ThankMeLater. Ni kwamba Whatsapp inamilikiwa na Facebook, na pasipo kuinyima ruhusa Facebook, itatumia taarifa zako za akaunti ya Whatsapp... na hata kama huna uelewa wa kutosha wa usalama wako mtandaoni (cyber security), hicho sio kitu kizuri. Fuata maelezo hayo pichani (nimeweka namba MOJA hadi TANO) ili kuinyima ruhusa Facebook kutumia taarifa hizo kwa kuondoa alama ya tick...

     (Shukran za dhati kwa ndugu yangu Zuhra Yunus wa BBC Swahili kwa ku-share nami tahadhari hii). Jioni njema
    Source: Evarist chahali

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TAHADHARI MUHIMU KAMA UNATUMIA WHATSAPP Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top