
Umbali mrefu wa kufuata huduma ya afya umemfanya Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Gabriel Robert kushirikiana na wananchi wa kijiji cha Mwenga Tarafa ya Mombo kuanza ujenzi wa zahanati ambayo wamelenga kujenga zahanati yenye viwango vya ubora na vigezo vyote vya kitaalamu ndani siku 30 kuanzia leo.

Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Gabriel Robert akishiriki kuchimba msingi wa ujenzi wa zahanani kijiji cha mwenga


DC Korogwe, Gabriel Robert



DC Korogwe, Gabriel Robert

Wananchi wa kijiji cha Mwenga waliojitokeza kusaidia ujenzi wa zahanati
0 comments:
Post a Comment